Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

Ni kwa vikombe tu,je haiwezekani na kwa birika za udongo.?!
 
Watanzania siku hiz uzalendo "Umetujaa" sana. Sasa wazungu nao wanaobeba nguo za kimasai ama vinyago na kupeleka ulaya hawana vya kwao?
Hao wanafanya utalii na wananunua hivyo kama kumbukumbu.tukirudi kwenye biashara unangalia wateja wanataka nini.
 
Hata mim naona ni utumwa kuniambia nishabikie yanga au simba nikaiacha Lipuli yangu, huko yanga na simba hakuna abayenifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…