VIKONGWE TIMU YA TAIFA MZIGO USIOBEBEKA

VIKONGWE TIMU YA TAIFA MZIGO USIOBEBEKA

PAGAMECO

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,237
Zimebaki story Tu . hapo zamàni ilikuwa ikawa mpaka sasa hakuna jipya kinachofanyika ni uzuzu tu . kama tukiendelea kutegemea mafanikio ya mpira kuptia hawa kina kichuya , yondani , Ulimwengu na nk. nikucheza mirenge kwenye mdumange .
DATA= wachezaji wa ndani wasio na majina makubwa + wachezaji kutoka zanzibar + Vipaji kutoka timu za vijana (25)
na Mwalimu mwenye Akili Timamu mfano : MASOUD D JUMA hapo siyo ushabiki Fikiria vizuri ni kocha wa Aina Gani?

Maandalizi ya kutosha na kuondoa Vidampa wa Simba na yanga ##

VUNJA TIMU YOTE YA TAIFA HAKUNA TIMU Pale ya Kusimamia U Tanzania wetu .

hivyo Big Mind Thinking wameelewa,
 
Tz hakuna timu ya taifa. Kwa mchezo ule hatufiki kokote.
Kunaitajika mabadiliko makubwa mno, kuanzia kocha hadi wachezaji wenyewe.
 
Hivi kanuni za soka haziruhusu club kuiwakilisha timu ya taifa. Mi naona bora wangetuwakilisha Mbao FC au Ndanda FC kuliko vile viduku nilivyoviona pale.!
 
Back
Top Bottom