Vikosi Vya Anga Vya Ukraine Vimeweza Kudungua Makombora Zaidi Ya 100 Ya Cruise/Hypersonic Ya Urusi

Vikosi Vya Anga Vya Ukraine Vimeweza Kudungua Makombora Zaidi Ya 100 Ya Cruise/Hypersonic Ya Urusi

Wewe kijana lazima utachanganyikiwa mwaka huu
 
Counter Offensive:
Ukraine yachukua maeneo zaidi yaliyotwaliwa na Urusi:
....
Vikosi vya Ukraine vimechukua zaidi ya kilomita za mraba 35 za ardhi katika eneo ambalo linadhibitiwa na vikosi vya Urusi huko Bakhmut mashariki wiki iliyopita. Katika hatua nyingine mwendesha mashitaka wa Ukraine amesema maoni ya Rais Vladimir Putin juu ya malipo ya kundi la mamluki la Wagner "ni ushahidi wa wazi" kuwa kundi hilo kilikuwa kikosi haramu katika jeshi la Urusi kwenye vita vya Ukraine.
Source: DW Kiswahili
1688378062118.jpg
 
K
Hizo zitakuwa ni 'hypersonic' za mchongo ndio maana zinatunguliwa.

T14 Armata
Kinzhal ni kama air launcher Iskander. Chances za kuidungua ukiwa na systems kama Patriot PAC-3 ni kubwa, kwanza PAC-3 maisha yake yote Marekani ilikuwa inapiga mazoezi ya kudungua missiles kama hiyo Kinzhal. Labda waje na super manoeuvring supersonic au kama wakiweza ziwe hypersonic kama zilivyo MIRVs ndio wataleta changamoto.
 
Na wewe una amini maigizo ya Zelensky na washiriki wenzake mara hii umesahau kwamba Zelensky na Biden ni seasoned clown - vifaru vya challenger, Leopard Bradley APCs vimeishia wapi - Waamerika walivyo walaghai wa kutupwa, vifaru vyao hawakuvipeleka Ukraine waliohofia kutiwa aibu na silaha za Urusi kuvitia kiberitiri nakuwaharibia sifa/soko vya hyped Abram -that cannot even cross Altacama Desert let alone Sahara!!
 
Back
Top Bottom