Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kituo cha televisheni ya taifa cha Iraq kimesema jeshi la Marekani limeshambulia kikundi cha wanamgambo wa Shia, Kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad.

Wana mgambo 26 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo la jana Ijumaa usiku, lakini hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na 🇺🇸

Iraq News

IMG_20200104_091244.jpg
 
Naona sasa hivi usa imeamua kuwapelekea Moto hao wanamgambo.

Ila upumbavu wa hawa wanamgambo ni kuwa wanatumia whatsapp wanatumia iphone, wanatumia tvbox apple tv ambazo zinawaspy.

Kwa hio kila wanachofanya Usa anajua kila plan usa anaijua.
Ukiona wamepigwa ujue kuna mission walikuwa wanaipanga.

Hata yule mjinga aliyeuwawa general. Alikuwa anaenda kwenyw mission ya kukutana na wale wapumbavu waliovamia us embassy. Wengi wao wakiwa ni wanamgambo.

Lets sit and watch.

Ila mjue kuwa Saudi arabia yupo nyumba ya USA.
 
Kituo cha televisheni ya taifa cha Iraq kimesema jeshi la Marekani limeshambulia kikundi cha wanamgambo wa Shia, Kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad.

Wana mgambo 26 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo la jana Ijumaa usiku, lakini hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na 🇺🇸

Iraq News

View attachment 1311829
Hao wanamgambo magaidi saizi wameshafika jehanamu
 
UN iko wapi
Naiona dalili za ku'fail kama league of the nation 1930's na kuchochea Ww2 .........

Why Un Failed 2_prevent Big Nation
In Using Massive Power""?

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran ipo yenyewe kwenye hili, hakuna WWW3 yoyote ile..Kama inataka amani itulie tu ifanye mambo yake kwenye nchi yake, ikome kuivura Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom