Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

UN iko wapi
Naiona dalili za ku'fail kama league of the nation 1930's na kuchochea Ww2 ........
Why Un Failed 2_prevent Big Nation
In Using Massive Power""?

Sent using Jamii Forums mobile app
UN ilisha fail kitambo sana, toka mauvamizi ya Vietnam nakadhalika, USA anachaguwa tu wapi aende kupora mali kwa mabavu, Russia naye anahangaika na Ukraine na Syria, its free for all kwa hawa so called Superpowers, very disappointing indeed...
Halafu wanajitia ndio manguli wa Demokrasia?! Demokrasia their ass...
 
Kuvamia sovereignty state ni Makosa Marekani aji tahadhari na ilo ata kama na nguvu kijeshi aangalie lisije gharimu maisha ya Raia wake.
 
Back
Top Bottom