britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23].
Mkuu hujaona fursa ya kuuza korosho huko Iraq na uajemi? Neema hi mzee baba[emoji23] [emoji23] [emoji23].
mkuu kama kweli shetani yupo, basi ni wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujaona fursa ya kuuza korosho huko Iraq na uajemi? Neema hi mzee baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23].
mkuu kama kweli shetani yupo, basi ni wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanamgambo magaidi saizi wameshafika jehanamuKituo cha televisheni ya taifa cha Iraq kimesema jeshi la Marekani limeshambulia kikundi cha wanamgambo wa Shia, Kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad.
Wana mgambo 26 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo la jana Ijumaa usiku, lakini hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na 🇺🇸
Iraq News
View attachment 1311829
Iran ipo yenyewe kwenye hili, hakuna WWW3 yoyote ile..Kama inataka amani itulie tu ifanye mambo yake kwenye nchi yake, ikome kuivura IraqUN iko wapi
Naiona dalili za ku'fail kama league of the nation 1930's na kuchochea Ww2 .........
Why Un Failed 2_prevent Big Nation
In Using Massive Power""?
Sent using Jamii Forums mobile app
Because big nation =UNUN iko wapi
Naiona dalili za ku'fail kama league of the nation 1930's na kuchochea Ww2 .........
Why Un Failed 2_prevent Big Nation
In Using Massive Power""?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wavaaa Vipedo na Wafuga majini mwaka huu kazi wanayo
hivi kati iran iraq usa nani gaidi mkuu wa dunia ya sasa?Iran inafadhili mno magaidi, wanapata kile wanachostahili.