De Opera JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 780 Reaction score 1,664 Sep 16, 2021 #1 Habari wanaJF, Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa. πππ
Habari wanaJF, Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa. πππ
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 827 Sep 16, 2021 #2 Ngoja simba day iishe kwanza
De Opera JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 780 Reaction score 1,664 Sep 16, 2021 Thread starter #3 Dead Man said: Ngoja simba day iishe kwanza Click to expand... Sawa mkuu π
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Sep 16, 2021 #4 Ingia Simba App utapata yote lipia buku 2
De Opera JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 780 Reaction score 1,664 Sep 16, 2021 Thread starter #5 OKW BOBAN SUNZU said: Ingia Simba App utapata yote lipia buku 2 Click to expand... Naingia lakini nikibonyeza kwenye kipengele cha Team haileti matokeo yoyote.Ile Swiper inazunguka tu then inatulia.
OKW BOBAN SUNZU said: Ingia Simba App utapata yote lipia buku 2 Click to expand... Naingia lakini nikibonyeza kwenye kipengele cha Team haileti matokeo yoyote.Ile Swiper inazunguka tu then inatulia.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Sep 16, 2021 #6 operativetz said: Naingia lakini nikibonyeza kwenye kipengele cha Team haileti matokeo yoyote.Ile Swiper inazunguka tu then inatulia. Click to expand... ukifungua App tu,kulia mwa Logo kuna alama ya watu,fungua hapo
operativetz said: Naingia lakini nikibonyeza kwenye kipengele cha Team haileti matokeo yoyote.Ile Swiper inazunguka tu then inatulia. Click to expand... ukifungua App tu,kulia mwa Logo kuna alama ya watu,fungua hapo
De Opera JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 780 Reaction score 1,664 Sep 16, 2021 Thread starter #7 OKW BOBAN SUNZU said: ukifungua App tu,kulia mwa Logo kuna alama ya watu,fungua hapo Click to expand... Ahsante kaka nimekiona. ππ App ilikuwa haifunguki!
OKW BOBAN SUNZU said: ukifungua App tu,kulia mwa Logo kuna alama ya watu,fungua hapo Click to expand... Ahsante kaka nimekiona. ππ App ilikuwa haifunguki!