PreGE2025 Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana na walemavu vimepatiwa mikopo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa mwaka wa fedha 2024-2025.

Kati ya fedha hizo Sh. Bilioni 40.71 zimetolewa kwa vikundi 4,557 vya wanawake, Sh.Bilioni 36.64 kwa vikundi 2,827 vya vijana na Sh.Bilioni 5.48 kwa vikundi 891 vya watu wenye ulemavu.

Watairudisha in time?
 
Walemavu tanzini Tena, kazi Yao ni kupewa mikopo tu na siyo ajira hata kama wanaelimu na uwezo wa kufanya kazi.
Hiyo mikopo hata kwa miezi sita hawatoboi tayari watakuwa wamefikisika na kubaki na madeni.
 
Serikali itunge Sheria mpya - kuwepo na ongezeko la kutoka 10% hadi 25% ili hii 15% inayoongezeka uwafikie kundi la vijana wasomi including NEYO
 
Back
Top Bottom