Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo.
Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya Rais. Hawa wamama wanashangilia, wanapiga kelele mtu akiongea chochote, wakiambiwa wapige vigelegele wanapiga kweli, wanapiga haswa.
Kwenye utambulisho wametajwa kama Kikundi cha Hamasa cha wanawake wa Mama Samia, sasa nawaza hawa wanatofauti gani na chawa wamama. Je kikundi hiki kinapata hela kwa shughuli za kushangilia na kupiga vigelegele tu hadi kujiundia kikundi cha hamasa?