Historia hujirudiaLeo nafatilia historia ya mtwala wa uganda ambayo kikosi chake kilikuwa kabira lake na alijaza watu wake.
Ilipofikia kupinduliwa na jeshi la tanzania walipofika kijijini kwao wote walikimbia na walikuta kuna mbwa mmoja tu katelekezwa.