- elimu duni ya wakulima
- mipango duni ya serikali ya kumkomboa mkulima
- watanzania bado hawajachukulia kilimo kama ni kazi
- uhaba wa miundo mbinu
- ruzuku kutoka serikalini hazitoshi
- viongozi wa juu/serikalini wanakula pesa zote wenyewe
- pesa/misaada haiwafikii walengwa
- wakulima wengi wa tanzania wanalima bila mipango
- uhaba wa maji
- uhaba wa tekinologia ya kilimo
- kilimo cha kutegemea mvua ni tatizo kubwa sana kwa tz
- hakuna soko la uhakika kwa mazao m.f mkulima analima na anauza ila walanguzi ndio wanaofaidika. kwahiyo hakuna sababu ya kulima acha wote tuwe walanguzi
- etc......
teh teh, yaani hii ni topic yako ya kwanza? Nadhani wewe ni dent na hii ni homework yako umepewa 🙂 Naona mzee unadesa mpaka jf....whats are the "barriers" facing the growth of "tanzanian" farmers
oh, i see...am doing a research on this topics and i would like my fellow tanzanians to comment so as to get solution to increase growth of farming industry!!!
determine the process / barriers which they face that prevent them from being competitive growing
soko bila mindo mbinu (infrastructure) ni sawa na siasa za ccm! utawezaje kuwa na mifereji na kukusanya maji ya mvua wakati mvua zenyewe hakuna? mfano; tunahitaji kuwa na wakulima ambao hawategemei mvua!!!! pia, kama madai yako ni sahihi; tatizo lingine ni utaalamu wa kumwagilia! sijawahi kuona tz wakulima wakitumia 'drip irrigation' bali wengi wao wanatumia 'flooding'....unajua ni maji kiasi gani yanapotea kwa kumwagilia kwa mtindo wa mafuriko?Soko ni tatizo la kwanza. Kungekuwa na soko la mazao yetu, watu wangetafuta shule zaidi ya kilimo, wangejenga mifereji wenyewe, wangevuna maji ya mvua bila taabu nk.
ukulima si lazima uwe na acres 500...mfano mimi nina acres 3 tu na mambo ninayotoa shambani hapo si mchezo! tunahitaji kulima kitaalamu zaidi na sio ubabaishaji tu! mbegu duni unapanda unategemea nini?Vikwazo vingine ni Ardhi
Tatizo la ardhi ni kubwa sana.
unakuta mashamba yenye rutuba wanagaiwa wawekezaji halafu wazawa wanakuwa vibarua. kwani nini mzawa asitumie nguvu kazi yake kujiajiri katika ardhi yake kama heka 5 au 10?
unakuta viongozi wa serikali wanahodhi ardhi heka 500 au elfu - pengine unakuta mwekezaji anapewa ardhi hekari 5000 mpaka 100000.
Watanzania hatuna haki ya kugawiwa ardhi.
Soko ni tatizo la kwanza. Kungekuwa na soko la mazao yetu, watu wangetafuta shule zaidi ya kilimo, wangejenga mifereji wenyewe, wangevuna maji ya mvua bila taabu nk.
You know plants have varying Kc 'crop coeffiecients values' throughout the growing stages. There are short duration crops (3-4 months) that need about 200-240 mm of water for irrigation (one standing crop) throughout their growing season. Therefore, if you have about 200 crops then you will need about 200 times the amount of water needed by one crop, let say 400-480mm of water for irrigation. Rember, there is evapontranspiration. What I am trying to say is we need expert to od all the feasibility studies as far as the agriculture is concerned.whats are the "barriers" facing the growth of "tanzanian" farmers
Mimi sioni kama ni tatizo kwa mtu mmoja kuwa na acres 500 na kulazimisha kwamba zigawiwe kwa wananchi acres 2-10 kila mtu! Mashamba mbona bado yapo meeeengi tu. Mimi nadhani watanzania wengi ni wavivu na hasa kwa kilimo chetu cha jembe la mkono! Hat kupanda mpunga tu tunatumia mikono! What if you have 200 acres za mpunga?Mkuu CBZ ni kwamba badala ya Kiongozi kuhodhi au kushikilia heka 500 au mwekezaji, wananchi wangegaiwa angalau hekari 2 mpaka 10 kadri ya uwezo wa kuhudumia.
Kwa hiyo nina maanisha kuliko mtu mmoja kumiliki hekari 500 mwenyewe, wananchi wengi wangegaiwa.
Malila na kubaliana kwa kiasi na hili lakini si moja kwa moja. Soko la wezaje kuwa tatizo kwa nchi yenye population ya watu zaidi ya 40M? Ni soko au ni strategy za kutengeneza masoko ndo tatizo? Angalia policy za wenzetu za Agriculture zinavyo create internal market na kuongeza internal prices ndipo sasa hasa wanapo pata uwezo wa ku influence world markets. Hivi China walifanyaje kwanza kabla ya kuteka soko la dunia? Walianza na soko lanje kabla ya kujizatiti kwanza ndani? It is the law of nature for internal forces to influence external forces...
Programming yetu katika kilimo bado haiko comprehensive wala siyo strategic. Huwezi kuanzisha uzalishaji bila kumfikiria mlaji ni nani na yuko wapi na anauwezo gani katika kusustain hiyo production.
Mfano watu wanalima mahindi wanafikiria tu wanunuzi wambali wakati jirani hapo kuna ngo'mbe wanakufa kwa kukosa machungio...watu wakikubaliana imformally kwamba nipe shamba lako nilishe ng'ombe zangu technocrats kwakupenda rushwa wanaingilia hizo negotiation na kusababisha conflicts badala ya ku enhace hayo mawazo na kuyaboresha.
For me its more of attitude than markets... Say why mahindi si lazima yawe kwaajili ya kula ugali tu kwa sababu traditionally ndo staple food. Pumba za faa kulisha kuku mabua yana value etc so mkulima yeye ka crame tu akilima mahindi basi auze kwaajili ya kusaga unga tu by products zote zinatupwa wakati hapo zinge mwezesha kuwa inputs katika associated projects..Worse enough mmoja akilima mahindi basi kijiji kizima wanalima mahindi hakuna mlaji na competition inakuwa kubwa huku price ikienda chini.
Je kwa mfano Wangelima watano kijijini wengine wakawa vibarua wengine wakawa na mashine za kukoboa na kusaga wengine wakafuga mbuzi wengine kuku, wenigne wakalima mboga wengine wakafyatua matofali na kuchoma na pumba hapo kuna swala la soko? Inamaana waliolima mahindi watawauzia wengine hapo ili wapate staple food ugali, mwenye ugali atanunua mboga kwa mkulima wa mgoga, wenye mahindi watakuwa wateja wa wenye mashine za kusaga na kukoboa, pumba kwaajili ya kuchoma matofali, kulisha mifugo ambayo itatoa mbolea kwaajili ya mashamba na bio gas kwaajili ya umeme hapo kijijini etc so unatengeneza market hapo hapo kijijini ni surplus tu ndo inauzwa nje tena bei itakuwa ya juu maana soko lipo hapo hapo kijijini. Simple model tu inamaliza tatizo la market at farm gate level alafu utashangaa ooh hakuna soko? Ya kweli hayo?
Constraint kubwa kwa mkulima wa kawaida ni ambayo ipo kidogo nje ya uwezo wake ni weather na siyo soko pamoja na jinsi ya ku program kilimo. Kilimo kuendeshwa na population yote ya kijiji ni pathetic marginal productivity ni zero maana labour input ni kubwa kuliko out put.
Kazi ya kutengeneza hizo quotas ndo ya serikali through sera na strategies...pale ambapo weather inakuwa otherwise subsidies ndo zina ingia hapo pamoja na installation za Biogas facilities sio ooh vocha za mbolea huku wanufaikaji ni walanguzi. Ukiwa coordinate wakulima vizuri hawahitajiwakala wa voucher za mbolea watajua inapopatikana na watanunua wenyewe for it pays to invest in that input, otherwise hawezi risk eti aweke mbolea wakti hana uhakika na hali ya hewa yeye mwenyewe atamsaidia mlanguzi wa voucher kupata pesa za serikali.
soko bila mindo mbinu (infrastructure) ni sawa na siasa za ccm! utawezaje kuwa na mifereji na kukusanya maji ya mvua wakati mvua zenyewe hakuna? mfano; tunahitaji kuwa na wakulima ambao hawategemei mvua!!!! pia, kama madai yako ni sahihi; tatizo lingine ni utaalamu wa kumwagilia! sijawahi kuona tz wakulima wakitumia 'drip irrigation' bali wengi wao wanatumia 'flooding'....unajua ni maji kiasi gani yanapotea kwa kumwagilia kwa mtindo wa mafuriko?
alright!Bado hata flooding irrigation ingefanyika ipasavyo bado tungevuna na kupata ziada zaidi.