Vikwazo vya biashara vinatofautiana sana

Si uvivu bali kupenda kutafuniwa
Kweli mkuu na kingne wengi huwa hatuko tayari kujitesa

Na kuna kitu ambacho kama vijana kinatuadhiri ni kuishi sehemu moja maana ukiwa unaishi sehemu moja huwezi kujifunza fursa zinazo tokea miji mingne
 
Ukitaka kuendelea haraka nenda nje maana ukiwa nyumbani leo bibi anahitaj chumv kesho mwingine anataka 5elf
 
Kweli mkuu maana ukiwa mbali utajituma tofauti na nyumbani na pia huta chagua biashara ya kufanya maana hutamwonea mtu aibu
 
Back
Top Bottom