Vikwazo vya maendeleo katika nchi yetu ni...


KWANI mila za kiafrika au makabila mbalimbali tuliyo nayo zinasemaje kuhusu tabia kama hizi? Endapo kiongozi wa kijadi enzi zileeee angafanya ubinafsi kama hivi, jamii ingemchukulia je?
 

Mimi siwezi kuwa naabudu "dini" ya sayansi, kwa sababu kanuni ya kwanza katika sayansi ni kwamba hakuna kuabudu. Siwezi kuwa naabudu sayansi kwa sababu najua kwamba sayansi iko fallible, na ukishajua kwamba kitu kiko fallible huwezi kuwa unakiabudu. Siwezi kuwa naabudu sayansi kwa ababu sayansi iko testable, na inafanya predictions zinazo i vindicate au kui expose, na mara nyingine inakosea .Kwa hiyo hamna ibada hapa, ni reason tupu.

Mnaoabudu ni nyie wenye dini, mnaoamini kwamba mungu/ papa yuko infallible.

Ndiyo maana mpaka leo mvua zisiponyesha, badala ya kupanga mikakati ya kilimo cha umwagiliaji, tunaanza kudanganyana mambo ya kwenda makanisani na misikitini kuomba mungu mvua inyeshe.

Yaani hamna tofauti na watu walioishi 5000 B.C.
 
Kwa faida yako dont try me in sociology, psychology, social anthropology, social policy or politics nenda kapumzike and i think its about time na mimi ni take time off this forum honestly.

HUKO NTA KUUMIZA its not about reading an article or watching a programme on history channel ndio kujifanya unajua All the theorist you mentioned on earlier post were too behind the industrial revolution or way too out of the era so to spare you some blushes ill let it go quote me again and you're going to get it.
 

Maneno matupu, mtu mzima hatishiwi nyau, hata mie kama nataka kujisifia ntajisifia tu.

Kwa nini usituonyeshe umahiri wako kwa kujibu hoja? Badili yake unafyata mkia na kutaka kukimbia, wamahiri hwakimbii hoja hata siku moja. Wamahiri hawajifungi kwa kamba zao wenyewe, eti unakuja kuleta mifano ya Italy na Spain, nchi inazo struggle katika chumi za nchi zilizoendelea, halafu ndio unajiita bingwa. At this rate I need not forward any new argument, I will let you hang yourself with your birdbrained halfbaked dilapidated positions.

You told me quote me again and you are going to get it, I not only want to get it, I want you to unleash your full speed.

Your comprehension level obviously leave much to be desired.

Hujaelewa kwamba hao niliowataja wana relevance gani katika argument yangu kwamba kipindi fulani hatukuwa na tofauti sana na Ulaya, ndiyo maana sikuchagua kipindi cha industrial revolution kwa sababu kwa kuchagua kipindi hicho nisingeweza ku argue case yangu, kwa sababu Europe ilikuwa industrialized wakati sisi tulikuwa bado.Jeez, umepewa darasa hujaelewa unataka kupelekwa summer school?

Give the best that you can, for it seems to me gari lako limeishiwa mafut sasa umebakia kusema "usinijaribu kwenye socieology etc etc"

Vipanga hawajisifii, wanaacha watu wawasifie.

Shusha vitu watu waone wakusifie.Sio unaleta ujanja mwingi mbele kiza, una argue bila data, watu waki kuweka on the spot unakuwa mbogo.

Hii JF, hatuendi hivyo.
 
im not here to tutor and im not going to play hide seek let me guess you have run to the other topic what
a chicken.
 
im not here to tutor and im not going to play hide seek let me guess you have run to the other topic what
a chicken.

Kati yangu mie ninayekujibu hoja kwa hoja na wewe unayekuja na mumbo jumbo ambazo I doubt hata kama wewe mwenyewe unazielewa, nani chicken?

Jibu points, sio unaanza kuchomoa pole pole eti "I am not here to tutor"

Wewe si ndiye ulijitia umahiri hapa?

Kiko wapi sasa, tetea umahiri wako.
 
Ni sawa...KUAMKA KIFIKRA NA KUWA MWEREVU ni sehemu ya maendeleo...ninachosisitiza hapa ni uwezo wa Waafrika wa wakati huo kuishi na kujitegemea kwa kila kitu kulingana na resources walizokuwa nazo, nafikiri nilikuwa nikitofautina na mtoa mada kuwa si kweli kuwa kuegemea mila na desturi ndiko kunakorejesha nyuma maendeleo ya waafrika,na nikaonyesha kuwa ni vipi mila hizo zilichangia kupiga hatua kwa waafrika kabla ya Ukoloni na nini kilipelekea hali hiyo ibadilike,wala usikatae kuwa Afrika ilikuwa na maendeleo ya kiasi cha wakati huo kama alivyosema Dr.Rhodney,ubunifu waliokuwa nao wakati huo uliwaweka mbali kitekinolojia, wakati tekinolojia ya kulima kwa jembe la kukokota kwa n'gombe ilishastawi maeneo ya bonde la mto Nile Afrika,karne nyingi nyuma, kwa wazungu ndo kwnza walikuwa wakitumia jembe la mkono na mapinduzi ya kilimo wakati huo kwao bado.
Ni kweli ili uendelee unahitaji kuamka kifikira,na ndo maana kwa kuwa wazungu walikuwa nyuma kimaendeleo walizituma fikra zao wakiamini kuwa kuendelea kwao kutakuwa ni ndoto iwapo hawatasambaa kutafuta resources za kulisha mifumo yao michanga ya kinyonyaji kwa gharama yoyote ile na ndo maana walilazimika kufanya uharibifu wa kila kitu kupata walichokitaka. Na hii inawezekena kwani historia ya ulimwengu si inaonyesha kuwa maarifa ya watu wa oneo moja yanaweza kushawishi mabadiliko ya msingi ya eneo jingine....kumbuka maneno ya Wilson Churchill na "ukuta wa chuma",na ndo maana dunia imekuwa hapa ilipo leo, mungu bariki vita vya kinyukilia havikupiganwa.
 

Big up mzee umeanza vizuri sana, na mm nataka kuongezea kuna mila na desturi ambazo zilikuwa zikipinga uvivu na wavivu walikuwa hawana nafasi hata kuozeshwa wake, hali kadhalika walitengwa na kuzomewa na jamii na kuonwa kama watu wasio na thamani, hii ilijenga jamii yenye kuwajibika tofauti na tulivyo sasa watu wengi tunabweteka tukisubiri ajira.
 

Kwa maneno uliyoyaandika hapa, na kwa asilimia za ukweli zilizopo, basi inanishawishi kukuona mwenye akili timamu kama mimi, kwa hiyo unaweza kuwa rafiki yangu haswa ktk kubadilishana mawazo na zaidi kufikiri nini mustakabali wa mbeleni kwetu, namba yangu ya simu ni 0752 622 096. ila kwa sasa hivi hautanipata niko nje ya nchi mpaka mwanzoni mwa mwezi wa april. big up to you
 

Inaonekana ubongo wako haufanyi kazi vizuri, na pia watu wenye mawazo kama ya kwako ndio wanaochangia udororaji wa ustawi wa jamii,maana ni mizigo kwa jamii inayowazunguka, na ndiyo maana tunasema kuishi kwa imani ni shina la umaskini, je utajiri wa wahindi nao umetokana na TRA na BOT? je wachina pia walifanya kazi ktk TRA ya Tanzania,pls amka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…