Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

story iko hivi kuna demu mmoja bhana nimekuwa naye kwenye love kwa mda wa mwaka mmoja na nusu, kwa mda wote huo ambao nimekuwa naye nimekuwa nikimtimizia kila kitu kuanzia haja za kimwili yaan kumpiga miti na shida zake mbali mbali kama pesa za nguo na mapochopocho ya hapa na pale.

Ebhana ee si juz juz ndan ya mwez huu akanambia mimi namchezea wala sina lengo la kumuoa hivyo tuachane na inabidi kunipa papuch kwa sasa had nipeleke barua ya uchumba home kwao, mimi nikamwambia ukweli tu ni kwamba kwa sasa bado sijajipanga hivyo inabidi asubir mwaka huu uishe ndo nitaenda home kwao mara akabadili akadai anataka kusafil kwenda home kilimanjaro kapata kazi nikaona huyu binti anataka kunipanda kichwan ngoja nimufanyie umafia wa hapa na pale

Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu

Sasa juzi akanipigia cm akanambia gar imeharibika baada ya kunambia hivyo nikajua tiar hii ndo njia ya kuchukua gar yangu nikwambia aje na laptop maana nataka kuhamisha nyimbo za kisukuma ambazo niliziacha humo ndan ya laptop pia nikamwambia asisahau kuja na ile cm nataka nije nichukue baaz ya picha ambazo nilizihifadh humo

Akaleta gar nikaweka ndan laptop pia nikachukua na cm yangu nikachukua pia nikamwambia hivi vitu vyote utavichukua siku nikija kwenu kujitambulisha. AKABAKI NA KASIMU KAKE KA NOKIA KA TOCH NA AKAENDA KUPANDA BAJAJI HAJI KWAO

Jana kanipigia cm analia lia anasema amemisi gegedo na ile safari ya kwenda kwao kilimanjaro kufanya kaz kasitisha hivyo anabaki hapa hapa dar na anadai kwa sasa ananipenda sana kushinda siku zote na hatak tuachane alikuwa ananitania sijui mara juz kaniota tumefunga ndoa na blabla kibao.

DEMU AKIZINGUA MUWEKEE VIKWAZO VYA KIMAREKAN UMUONE ANAVYOKUJA KUOMBA POO MWENYEWE


LONDON BOY
 
Kuna vitu kibao ambavyo nilikuwa nimemunulia kama simu, laptop gar aina ya alteza na kila week nilikuwa namtumia kias cha kama laki tano za matumiz hasa ya saloon kutengeneza nywele na kuweka kucha, bill zote hizo nilikuwa nagharamia kwakuwa kwanza nina pesa afu nilikuwa namuthamin kama mchumba wangu
Hapa Mdogo wangu ndio uliniponipa chai ya saa sita na hili joto duuh!
 
Back
Top Bottom