Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
DaaahLugha gan umeandika mama?
Nafikiri imejitype!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaahLugha gan umeandika mama?
Hahahahaaa sasa hayo makombora yako si naenda israel kuazimia drone za kuyatungua wala hayataleta madhazara yeyote kwanguHahahahahah hiii kweli kaliii mm ukiniwekea vikwazo vya kimarekani
Mm natengeneza makombora ya nyuklia kama ya putin nakupiga nayoooo alafu tuone nan atashinda vitaaa
[emoji102]Hahahahaaa sasa hayo makombora yako si naenda israel kuazimia drone za kuyatungua wala hayataleta madhazara yeyote kwangu
Ingekuwa uji ningekuamia hujaweka pilipili manga teh teh teh.Du kwahiyo mkuu hii ni chai au ni uji kwa mtazamo wako yaaan
Hapana,bali inapendeza kuwahi kwani kuchelewa kunaleta usumbufu kwa pande zote (kwako na kwa waumini wenzako maana wataanza kukuangalia unavyogonga ardhi na sikokonko zenu).Mkuu kwani ukiwah siti kwenye nyumba za ibada ndo unaenda mbingun ama nini
Poa sana mdogo wangu umenipa chai ya mchana ikanshindaHahahaaa bro bonny mambo niaje kaka