Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuuu umeadimika sana pande zileJua kali hili siku hizi tungepata Juice.
Hayo Makombora Naya Tafakar Kwa Jicho La TatuHahahahahah hiii kweli kaliii mm ukiniwekea vikwazo vya kimarekani
Mm natengeneza makombora ya nyuklia kama ya putin nakupiga nayoooo alafu tuone nan atashinda vitaaa
Hahhhaha achana na tunguli mm ni mzeee wa visasi tu tena kama vy putinHayo Makombora Naya Tafakar Kwa Jicho La Tatu
Tunguli Za Mshana Jr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa Mdogo wangu ndio uliniponipa chai ya saa sita na hili joto duuh!
Wewe mwenyewe umeadimika kuna tatizo gani?mkuuu umeadimika sana pande zile
kuna tatizo? nauliza tu
Nina kesi na wewe sijui kama utapata dhamanaHahhhaha achana na tunguli mm ni mzeee wa visasi tu tena kama vy putin
mimi nipo kila siku, jana nilipita piaWewe mwenyewe umeadimika kuna tatizo gani?
hahahhaahhaha nitamsaidiaNina kesi na wewe sijui kama utapata dhamana
Sawa tukutane lindoni on timemimi nipo kila siku, jana nilipita pia
Kibao kitakugeukia wewehahahhaahhaha nitamsaidia
leo nitakuwa on time kabisa, nimepiga ugali mnafu mchana nina nguvu za kutoshaSawa tukutane lindoni on time
putin cku hz anatumia makombora ya maji kama yale ya MTWA MKWAWA NA KINJETIKILE............................[HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG]Hahahahahah hiii kweli kaliii mm ukiniwekea vikwazo vya kimarekani
Mm natengeneza makombora ya nyuklia kama ya putin nakupiga nayoooo alafu tuone nan atashinda vitaaa
Hata mimi nakumbuka nimeisoma hapahapa JF hii stori mkuu.Hii kama inajirudia humu ndani au kumbukumbu zangu zinanidanganya nilijua mrejesho inaonekana kuna sehemu umecopy na kupaste London boy
Mmmhleo nitakuwa on time kabisa, nimepiga ugali mnafu mchana nina nguvu za kutosha
teh teh