Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

Vikwazo vya mataifa nilivyomuwekea huyu demu vimefanya ajilete mwenyewe

Hapo kwenye miziki ya Kisukuma nikajua tayari wazee wa visasi washaingia kazini. Mnatutesa sana na yule baba yenu mchukueni.
Ngoja kidogo mkuu bado miaka nane subir tu iishe
 
Yaan hii Chai kabisa. Diamond mwenyewe kwa mwezi hamlipi Mama Tee hiyo 2M sembuse wewe kumlipa demu hiyo pesa
 
wewe beira wew hata baiskeli huna hiyo alteza labda kama ya kuchora kwenye karatasi ni saws
 
Hii kama inajirudia humu ndani au kumbukumbu zangu zinanidanganya nilijua mrejesho inaonekana kuna sehemu umecopy na kupaste London boy

Hii kitu ni kweli kwamba kuna mtu amewahi kuipost humu ndani....na kama kuna vitu imebadilishwa ni kidogo sana.... mfano ni jinsi alivyochukua simu ya demu, kule na huku ni tofauti
 
Hilo ni tangazo bila Shaka. Haya wenye interest Kazi kwenu
 
Back
Top Bottom