Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ukiachana na biashara yakimataifa"katika kipindi kirefu, uchumi wa Urusi utadorora Zaidi wakati kwa kiasi fulani ukiachana na biashara ya kimataifa.”
Kipindi kirefu ni muda gani? Inahitajika specific estimates kwa ajili ya kupima usahihi.
Hem fafanua hio sentena yako MKUU kama hutojali
Sent using Jamii Forums mobile app