Vilabu 15 NBC havijapata mgawo wowote miezi 3

Vishabiki vya simba vinaogopa GSM kutwa kuipa Kiki JF. Andamaneni laivu mueleweke
 
Huuu ujinga ndio ulifanya hawa Home Shopping Centre mwenzao akapigwa tindikali. Sasa huyu Gharib huu utapeli si wa waz waz kabisa!
 
Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimkataba?

Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Basi asingeendelea kuweka mabango uwanjan na kuwapa taarifa vilabu kuwa wasivae nembo had swala litakapokuwa sawa.

Huo Ni uhuni timu zimekutangaza miez mitatu alafu unajitoa bila kuwalipa chochote.

Hii ngoma Bado mbichi GSM lazima wacheue pesa ya miez mitatu
 
Masharti ya mkataba yalifatwa. Ww timu yako ilikataa kuitangaza GSM😃 haukuw mkataba unaoiacha Simba na kuhusisha timu zingine pekee.
 
Anakulipaje? While bado hujatimiza Mashariti ya kimkataba
 
Je, vigezo vili fuatwa kama walivyo kubaliana kimkatabaa? kama hapana basi bodi ya ligi na Tff wna makosa na kama vilifuatwa Gsm ata fidia hyo miezi aliotangazwa na vilabu 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…