Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimbelembele chao Kama waliona kuna mgogoro wangetulia.Sasa kwanini matangazo yakaruhusiwa,je haki za hivo vilabu iko wapi? Wametangaza bure?
Mshikaji wangu vipi? Hapa vishabiki vya simba tunahusikaje? 😂Vishabiki vya simba vinaogopa GSM kutwa kuipa Kiki JF. Andamaneni laivu mueleweke
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahahaaaa![emoji119]Magodoro tumeloweka maji
Wahuni wamekimbia kambi, walitaka kuikomoa simba ivae logo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vishabiki vya simba vinaogopa GSM kutwa kuipa Kiki JF. Andamaneni laivu mueleweke
tulia dawa ikuingiee utopoloVishabiki vya simba vinaogopa GSM kutwa kuipa Kiki JF. Andamaneni laivu mueleweke
Basi asingeendelea kuweka mabango uwanjan na kuwapa taarifa vilabu kuwa wasivae nembo had swala litakapokuwa sawa.Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimkataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Mshikaji wangu vipi? Hapa vishabiki vya simba tunahusikaje? 😂
Mzima lakini?
Kama kulikuwa na mgogoro basi wangeutatua kwanza kabla ya kuutekeleza.Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimkataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Kama kulikuwa na mgogoro basi wangeutatua kwanza kabla ya kuutekeleza.
Kama kulikuwa na mgogoro basi wangeutatua kwanza kabla ya kuutekeleza.