thubut jamaa yenu janja janja sana hana hela anataka kutangza biashara zake kupitia mgongo wa SimbaHata ingekuwa Namungo, basi angelalamikiwa hivyohivyo
Sasa iweje avunje mkataba uliotekelezwa na vilabu 15 kati ya 16 sababu ya klabu moja tu aliyoitaja mara nne kwenye malalamiko yake? Kwa nini hazungumzii kuwalipa waliotumikia mkataba ila anazungumzia kuvunja?
hivyo aliingia mkataba kwaajili ya simba?
Na watazidi kupata kadi nyekundu kama mtazidi kuwahonga vijisenti vyenu ili wacheze mieleka kwenye mpira wa miguu dhidi ya mnyamaGSM katoa huo mzigo tff ili uje kuongeza nguvu Yanga,makolo match 13 penalty 8 goli za offside 7 halafu kila siku wanaleta propaganda za hata kolo akisikia mkewe kaliwa anailalamikia GSM
Imekula kwake. Akamdhamini mama j.Watanzania sisi sijui ni wagumu kuelewa au ni ubishi tu...
Unapoingia mkataba na mtu, watu, taasisi n.k mkataba unakuwa hai hadi pale masharti yote yanapotimizwa...
Unaongea kama nani?Basi asingeendelea kuweka mabango uwanjan na kuwapa taarifa vilabu kuwa wasivae nembo had swala litakapokuwa sawa.
Huo Ni uhuni timu zimekutangaza miez mitatu alafu unajitoa bila kuwalipa chochote.
Hii ngoma Bado mbichi GSM lazima wacheue pesa ya miez mitatu
Wale waarabu ni wajanja waliotoboa tu maisha kiujanja ujnjaSasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimkataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Mkataba wa tff na tbc haulazimishi timu kuvaa nembo za tbcMkataba wa GSM na TFF umeingia wakati ligi tayari imeanza na takribani mechi 7 zimechezwa
Wakati ligi inaendelea na masharti ya mkataba hayatekelezwi, GSM akawa anawaandikia barua TFF kuhusu kutotimizwa kwa masharti yake na TFF wala hakujisumbua kujibu
GSM wasingeweza kusitisha mkataba wakati ligi inaendelea na wakasubiri mzunguko wa kwanza uishe ili wavunje mkataba wao ili tukirudi round ya pili basi kila iwe imetoa nembo ya GSM kwenye mabega yao
Just simple as it
Hiki nikisingizio Wala sio haki hizo timu zilipwe pesa zao. Swali je GSM wakati anakuja kudhamini alipitia sheria/kanuni ya udhamini waligi ikoje. Kama alipitia bac ni haki hizi team azilipe manake sheria iko wazi kilabu/vilabu vitavogoma kuvaa nbo ya mdhamini faini mil3 aliendelea zaidi na zaidi kishushwa daraja. Bila Shaka kabla ya kuwekeza GSM haya yote waliyapitia. Sasa swali langu lipo hivi je ingetokea Kama adhabu ilivo andikwa humo kwenye kipengele hiko Cha udhamini Simba akashushwa daraja je GSM wasingelipa kwasababu ati timu 16 hazitimii kwao Kuna mmoja havaii kwahio navunja mkataba [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimkataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
Kwahio logo walivaa ya TFF au ? Bac Kama ni ilitikiwa wavae tff kinyume chake walivaa GSM. Bado haileti mantiki manake wanalalamika Simba hakuvaa nembo ya GSM Sasa je Simba wapi walisaini mkataba na GSM. The difference is the similarity here. Wao walivaa nembo ya GSM nawanamkoromea GSM [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Hamuoni hapo kuna mgongano wa kimaslahi (conflict if interest) ??
Ni sawa na kesi ya baba tff na gsm alafu mtoto wa baba tff anakuja kulalamika gsm hivi na vile.
Kwanini timu zenyewe zisiongee na tujue sababu haswa??
Masharti ya fatwa ndio. Rejea sheria na kanuni za udhamini utajua kua hivyo vilabu inatiwa vilipwe.je hizo sheria kiudhamini GSM walizipitia kabla kudhamini Mana isiwe kukomaa tu ooh mara timu zote 16.kile kipengele kipo wazi kwa timu itakao kiuka sheria na isivae nembo ya mdhamini itapewa adhabu ya kutoa mil3 na haitaishia hapo ikienendelea hadi kushushwa daraja. Hakuna kipengele kinachosema kilabu kimoja kikikataa kuvaa nembo ya mdhamini bac mdhamini atavunja mkataba.au unataka kua Kuna Sheria zapembeni zinayoi favor GSM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba labda tuseme walitumia sheria ipi??? Tuanzie hapoMasharti ya mkataba yalifatwa. Ww timu yako ilikataa kuitangaza GSM[emoji2] haukuw mkataba unaoiacha Simba na kuhusisha timu zingine pekee.
Bac yatosha kusema huo mkataba haukua halali. ila bado haitowi deni lao kwa zile vilabu 15.je hapo Kama ni hivo hawakufata kanuni za udhamini zinavosema Mana kanuni zile zipo wazi , kipengele kinasema timu itakaogoma kuvaa logo ya mdhamini itachuliwa hatua ya kupigwa faini ya shs mil3 na Kama wataendelea bac watashushwa daraja hio ndio kanuni/ sheria ya udhamini. Swali wao walitumia sheria ipi inayosema timu moja ikigoma bas mkataba unavunjwa Kama sio uhuni.au wanataka kusema GSM na TFF wana sheria zao na kanuni zao tofauti na hizi zilizowekwa na zilizo waziView attachment 2111982
Hayo ndio makubaliano ya GSM na TFF na wameshindwa Kuyatimiza, hata kama ni wewe mdhamini hauwezi hauwezi kutekeleza udhamini wako kama makubaliano ya kimkataba hayajatimizwa
Rejea kwenye malalamiko yao huko juu Kuna mtu ameweka caption ya hio document yao ya complaints ikiwemo na hio ya kunyimwa kutangazwa internationally na kilabu ya Simba kwa kutovaa nembo zaoMkuu kuna vitu ukisikia uwe watulia na kutafakari...
GSM alikuwa anadhamini ligi ya NBC, na jezi anazotumia Simba kwenye ligi ya Bongo sio zile anazotumia kwenye mechi za CAF...
Sasa Simba angemtangaza vipi GSM kimataifa?
Hauna haki ya kubadilishana hoja na mmMasharti ya fatwa ndio. Rejea sheria na kanuni za udhamini utajua kua hivyo vilabu inatiwa vilipwe.je hizo sheria kiudhamini GSM walizipitia kabla kudhamini Mana isiwe kukomaa tu ooh mara timu zote 16.kile kipengele kipo wazi kwa timu itakao kiuka sheria na isivae nembo ya mdhamini itapewa adhabu ya kutoa mil3 na haitaishia hapo ikienendelea hadi kushushwa daraja. Hakuna kipengele kinachosema kilabu kimoja kikikataa kuvaa nembo ya mdhamini bac mdhamini atavunja mkataba.au unataka kua Kuna Sheria zapembeni zinayoi favor GSM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba labda tuseme walitumia sheria ipi??? Tuanzie hapo
Sawa tumeelewa Sasa je kanuni na sheria za kudhamini zenyewe zinasemaje kwann muangalie faida ya GSM tu kwenye kudhamini.hebu tuchunguze upande wapili .hao yote kile kipengele kwenye sheria na kanuni za udhamini kinayajibu hivi kilabu kitakacho goma kuvaa nembo ya mdhamini adhabu yake itakua ni faini ya shs mil 3 na Kama wataendelea bac watashusha daraja na Wala hakisemi bac kilabu kitakacho goma kuvaa nembo ya mdhamini bac mdhamini atavunja mkataba .au labda wakati wasaini huo mkataba walitumia sheria ipi.haki ziwe upande mmoja kwa GSM .Hiyo hapo juu ni masharti yaliyovunjwa kwenye mkataba na nimetafsiri kwa Kiswahili ili wajinga wengine muelewe
Jitafakari upya kabla ya kuanza Ku QUOTE reply zanguBac yatosha kusema huo mkataba haukua halali. ila bado haitowi deni lao kwa zile vilabu 15.je hapo Kama ni hivo hawakufata kanuni za udhamini zinavosema Mana kanuni zile zipo wazi , kipengele kinasema timu itakaogoma kuvaa logo ya mdhamini itachuliwa hatua ya kupigwa faini ya shs mil3 na Kama wataendelea bac watashushwa daraja hio ndio kanuni/ sheria ya udhamini. Swali wao walitumia sheria ipi inayosema timu moja ikigoma bas mkataba unavunjwa Kama sio uhuni.au wanataka kusema GSM na TFF wana sheria zao na kanuni zao tofauti na hizi zilizowekwa na zilizo wazi
Aise unani umiza macho kwa huu uandishi wako kwahyo kajifunze skills za writing upyaSawa tumeelewa Sasa je kanuni na sheria za kudhamini zenyewe zinasemaje kwann muangalie faida ya GSM tu kwenye kudhamini.hebu tuchunguze upande wapili .hao yote kile kipengele kwenye sheria na kanuni za udhamini kinayajibu hivi kilabu kitakacho goma kuvaa nembo ya mdhamini adhabu yake itakua ni faini ya shs mil 3 na Kama wataendelea bac watashusha daraja na Wala hakisemi bac kilabu kitakacho goma kuvaa nembo ya mdhamini bac mdhamini atavunja mkataba .au labda wakati wasaini huo mkataba walitumia sheria ipi.haki ziwe upande mmoja kwa GSM .
Je masharti ya kiudhamini GSM aliyapitia.masharti hayawezi kua upande mmoja bila Shaka na upande wa TFF kulikua na mashartiWatanzania sisi sijui ni wagumu kuelewa au ni ubishi tu...
Unapoingia mkataba na mtu, watu, taasisi n.k mkataba unakuwa hai hadi pale masharti yote yanapotimizwa...