Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwa hiyo shida yake ni Simba?
Mkuu kuna uzi hapa tayari upo, kuna mtu kaweka nakala ya barua/taarifa ya GSM kwenda TFF, jaribu kuutafuta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo shida yake ni Simba?
Je umeusoma huo mkataba kujua majukumu na haki ya kila mdau wa mkataba?Tangu mkataba usainiwe Kati ya GSM na TFF na kushirikisha vilabu 15 ,vilabu havijapata mgawo ndani ya miezi yote mitatu .
Tulisema mkataba wa GSM ni wa kihuni na hawana huo ubavu kudhamini ligi , vilabu 15 vilijifanya vyote vimekubali na njaa zao na kukebehi Simba kumbe wanafanya matangazo ya GSM bure.
GSM ni genge la kihuni wamejaa chupli chupli tu.
View attachment 2111652
GSM kasema amevunja mkata, it means ulimukuwepo mpaka anaamua kuvunja, mwambie aombe JUA liwake Dar magodoro yakauke lasivyo KISUTU inamngoja.Je, vigezo vili fuatwa kama walivyo kubaliana kimkatabaa? kama hapana basi bodi ya ligi na Tff wna makosa na kama vilifuatwa Gsm ata fidia hyo miezi aliotangazwa na vilabu [emoji848]
Kabisa, yaani shida kubwa ya GSM ni Simba na sio hivyo vilabu vingineWalitaka wauze kupitia Simba
Waandamane Yanga na vilabu vingine 14 kwa kutoingiziwa 2B. Simba waandamane kwani wanamdai nani?Vishabiki vya simba vinaogopa GSM kutwa kuipa Kiki JF. Andamaneni laivu mueleweke
Vipengele vya mkataba wako visipotekelezwa automatically huo mkataba unakuwa umevunjikaGSM kasema amevunja mkata, it means ulimukuwepo mpaka anaamua kuvunja, mwambie aombe JUA liwake Dar magodoro yakauke lasivyo KISUTU inamngoja.
Mkataba una consist timu 16 zote za ligi kuu kuvaa nembo ya GSM kwenye bega la kushotoKama masharti hayakutimia waliaanza vp kuvaa nembo na kuweka matangazo ya GSM
GSM wameidhamini ligi kuu na timu zote lazima wavae nembo Ya GSM na kama Simba alikuwa hataki kuvaa nembo hiyo basi automatically mkataba umevunjika hata ingekuwa timu yeyote iliyobaki isingevaa, hali ingekuwa ni hiyohiyoKwa hiyo mlikuwa mnaitaka Simba hahahaaaaaaa godoro limelowa maji..
Hiki ndo ambacho kimetengenezwa kwasasa mdhamini yeyote akitokea kuja kudhamini ligi na Yanga akiona ana chembechembe za Usimba basi hakuna litakalokubaliwaTuwe wa kweli...kama Mo angechukua nafasi ya GSM akaidhamini Ligi Kuu.. Unadhani Yanga wasingesumbua?!..Jibu ni hapana..Mpira wa Bongo bila kuzisikiliza hizi timu mbili TFF haina nguvu..
Hata kama walichofanya Simba kisheria na Kikanuni wamekosea,kilitegemewa tu, na Yanga wangefanya hivyo hivyo mdhamini angekua Mo..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Sipo hapa kulazimisha mtu ila nipo hapa kwa ajili ya zile akili mgando ambazo zinaendeshwa na Wahindi bila kujijuaUsilazimishe Wote Tuikubari hiyo GSM yako
Kikubwa Wamesepa na Wasepe
SIMBA HOYEEEE
Unafahamu kwamba mkataba wa TFF na TBC kurusha matangazo kwa njia ya radio ni Milioni 300 kwa miaka 2?Taja embu hata mmoja
Mkataba wa GSM na TFF umeingia wakati ligi tayari imeanza na takribani mechi 7 zimechezwamasharti yapi?
mbona hawakuvunja mkataba mapema kabla hayo masharti hayajafuatwa kwanini wasubiri hadi mzunguko wa kwanza uishe ndo wavunje mkataba?
FactNiimejiridhisha pasi na shaka kuwa, wengi waliokuwa wanapinga udhamini wa (GSM) kwenye ligi na wote wanaosherehekea kujitoa kwake, wamegawanyika katika makundi makubwa mawili.
1. Hawajui katiba ya (TFF) hasa kuhusu suala la mkataba wenyewe unaotajwa kuwa ni wamagumashi.
2. Wanajua katiba ya (TFF), ila wanaendeshwa na hisia za ushabiki maandazi wa Usimba na Uyanga.
Kwanza kabisa hakuna sehemu yoyote ambayo (GSM) anamakosa kuhusu suala la udhamini mwenza kwa sababu yeye kama Muwekezaji alifuatwa na (TFF) akiombwa kuidhamini ligi kuu Tanzania bara na sio kwamba yeye alilazimisha kuja kuidhamini ligi.
- Jambo hilo lilithibitishwa na Rais wa (TFF) Wallace Karia ambaye alikiri kwamba wao kama (TFF) ndio walimuomba (GSM) aidhamini ligi kuu.
Baada ya (GSM) kuhakikishiwa na (TFF) + Bodi ya ligi kwamba logo yao itavaliwa na vilabu vyote (16) vya ligi kuu upande wa kushoto wa mkono wa jezi, na mabango yao yatawekwa kwenye viwanja vyote, (GSM) akakubali kuidhamini ligi....
... GSM kama kampuni wakakaa na (TFF) na bodi ya ligi wakafikia makubaliano ya kimkataba kuwa (GSM) watatoa Tsh 2.1 Billion kwa misimu (2) kwa awamu tofauti kulingana na makubaliano ya mkataba.
Kwa nini vilabu havikushirikishwa au vilishirikishwa? Hilo sio jukumu la (GSM). Kwa mujibu wa katiba ya (TFF) wenye jukumu la kuingia Mikataba yote inayohusu Udhamini wa ligi, haki za matangazo ya Tv na radio nk ni (TFF)...
(TFF) Wao ndio wanapaswa kusimamia vilabu ikiwemo kuwashirikisha na kuwajuza nini makubaliano ya Mikataba waliyoingia, japo katiba haiwalazimishi kufanya hivyo pia.
- Katiba ya (TFF) ndiyo iliyotoa LOOPHOLE ya baadhi ya vilabu kupinga Udhamini na sio (GSM)... Kwa kuwa (GSM) ni muungwana yeye ameamua kujitoa kwa sababu (TFF) imeshindwa kutekeleza makubaliano ya kimkataba waliyokubaliana.....
GSM angeamua hata kuishitaki (TFF) kwa kumchafua au kwa kutotekeleza mkataba ambao uko kisheria. Lakini yeye akachagua kujiweka kando tu.
- GSM hapa anatumika kama kichaka cha kujifichia, lakini ukweli wa mambo ni kuwa Uyanga wake ndio unamponza kwa sababu kuna Mikataba mingi tu inayoingiwa hapo (TFF) bila kuvishirikisha vilabu kwa kutumia katiba hiyohiyo iliyopo lakini hakuna klabu hata moja ambayo ilishawahi kuhoji au kulalamika kuwa haikushirikishwa.
- Mimi naamini, kama huu huu mkataba wa Udhamini mwenza ungekuwa umeingiwa na kampuni nyingine tofauti na (GSM) kusingekuwa na hoja zoote hizo zilizoibuliwa kuupinga.
- TBC wameingia mkataba wa miaka (3) kwa Tsh 300 Milioni pekee, lakini hakuna klabu inayoyapinga mabango ya TBC kwenye viwanja kwa kusingizia kuwa pesa ni ndogo,, Lakini kwa GSM aliyetoa 2.1 Billion mabango yake uwanjani yalipigwa vita sana kwa madai pesa ni ndogo !!!!
Mkuu Kuna watu wengine ni mabongo lala mkuu ishue iko wazi kabisa kwamba gsm ni mdhamini wa ligi kuu hiyo kimataifa anafuata nn kwa mkataba upi na kwa mandate ipi kuwa watu ni wajinga wa akiliMkuu kuna vitu ukisikia uwe watulia na kutafakari...
GSM alikuwa anadhamini ligi ya NBC, na jezi anazotumia Simba kwenye ligi ya Bongo sio zile anazotumia kwenye mechi za CAF...
Sasa Simba angemtangaza vipi GSM kimataifa?
hivyo aliingia mkataba kwaajili ya simba?Sasa vilabu vingepata vipi mgao wakati kulikuwa na mgogoro wa kimkataba?
Simba hakuwa tayari, hadi hapo GSM asingeweza kuendelea na mkataba na TFF...
uMkataba wa GSM na TFF umeingia wakati ligi tayari imeanza na takribani mechi 7 zimechezwa
Wakati ligi inaendelea na masharti ya mkataba hayatekelezwi, GSM akawa anawaandikia barua TFF kuhusu kutotimizwa kwa masharti yake na TFF wala hakujisumbua kujibu
GSM wasingeweza kusitisha mkataba wakati ligi inaendelea na wakasubiri mzunguko wa kwanza uishe ili wavunje mkataba wao ili tukirudi round ya pili basi kila iwe imetoa nembo ya GSM kwenye mabega yao
Just simple as it
anacholilia mtu wenu hajatangazwa na Simba kwenye jezi na pre/post match na sio tffMkataba wa GSM na TFF umeingia wakati ligi tayari imeanza na takribani mechi 7 zimechezwa
Wakati ligi inaendelea na masharti ya mkataba hayatekelezwi, GSM akawa anawaandikia barua TFF kuhusu kutotimizwa kwa masharti yake na TFF wala hakujisumbua kujibu
GSM wasingeweza kusitisha mkataba wakati ligi inaendelea na wakasubiri mzunguko wa kwanza uishe ili wavunje mkataba wao ili tukirudi round ya pili basi kila iwe imetoa nembo ya GSM kwenye mabega yao
Just simple as it
Sasa iweje avunje mkataba uliotekelezwa na vilabu 15 kati ya 16 sababu ya klabu moja tu aliyoitaja mara nne kwenye malalamiko yake? Kwa nini hazungumzii kuwalipa waliotumikia mkataba ila anazungumzia kuvunja?Mkuu kuna vitu ukisikia uwe watulia na kutafakari... GSM alikuwa anadhamini ligi ya NBC, na jezi anazotumia Simba kwenye ligi ya Bongo sio zile anazotumia kwenye mechi za CAF... Sasa Simba angemtangaza vipi GSM kimataifa?
Hata ingekuwa Namungo, basi angelalamikiwa hivyohivyou
anacholilia mtu wenu hajatangazwa na Simba kwenye jezi na pre/post match na sio tff
jamaa wenu hana pesa.
View attachment 2112422