frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
samahani mkuu 😂😂Uzi bila picha faini milioni 20 na kifungo miaka miwili.View attachment 2308019
List yake itakujaMbona siioni yanga [emoji26][emoji26][emoji26]
Wako bize kutengezea vibwengo wao nyumba kwenye jeziHistoria FC mbna siioni?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wako bize kutengezea vibwengo wao nyumba kwenye jezi
Orodha hiyo bila utoMbona siioni yanga [emoji26][emoji26][emoji26]
Unaacha kuiulizia Namungo unaiulizia Yanga?Mbona siioni yanga [emoji26][emoji26][emoji26]
Nitakuwa wa mwisho kuamini hizi data. Ni ngumu sana Es Tunis apitwe na rivers united kwa ubora.Vilabu 20 bora zaidi Afrika;
1. Al Ahly
2. Raja Casablanca
3. CR Belouizdad
4. Wydad Casablanca
5. Pyramids FC
6. Atletico Petro De Luanda
7. Zamalek
8. Mamelodi Sundowns
9. JS Kabylie
10. ES Setif
11. Simba SC
12. RC Berkane
13. Orlando Pirates
14. JS Souara
15. TP Mazembe
16. Al Masry
17. Rivers United
18. Esperance
19. Zanaco
20. GD Sagrada Esparanca
Data zimekusanywa kwa kipindi cha kuanzia Aprili 2021 mpaka Machi 2022.
CHANZO?Vilabu 20 bora zaidi Afrika;
1. Al Ahly
2. Raja Casablanca
3. CR Belouizdad
4. Wydad Casablanca
5. Pyramids FC
6. Atletico Petro De Luanda
7. Zamalek
8. Mamelodi Sundowns
9. JS Kabylie
10. ES Setif
11. Simba SC
12. RC Berkane
13. Orlando Pirates
14. JS Souara
15. TP Mazembe
16. Al Masry
17. Rivers United
18. Esperance
19. Zanaco
20. GD Sagrada Esparanca
Data zimekusanywa kwa kipindi cha kuanzia Aprili 2021 mpaka Machi 2022.
Kwasababu sio Klabu bingwa.Mbona siioni yanga [emoji26][emoji26][emoji26]
CAFCHANZO?
Wawemo ili humo kundini pasikalike kwa harufu ya kinyesi? Al Ahly siyo mende na CAF siyo wajinga kiasi hicho.Mbona siioni yanga [emoji26][emoji26][emoji26]
Ile timu aliyotoka Aziz KIIIIII na ile aliyotoka akina mayele mbona sizioni mkuuu.. nacheka kwa dharauuuuuuVilabu 20 bora zaidi Afrika;
1. Al Ahly
2. Raja Casablanca
3. CR Belouizdad
4. Wydad Casablanca
5. Pyramids FC
6. Atletico Petro De Luanda
7. Zamalek
8. Mamelodi Sundowns
9. JS Kabylie
10. ES Setif
11. Simba SC
12. RC Berkane
13. Orlando Pirates
14. JS Souara
15. TP Mazembe
16. Al Masry
17. Rivers United
18. Esperance
19. Zanaco
20. GD Sagrada Esparanca
Data zimekusanywa kwa kipindi cha kuanzia Aprili 2021 mpaka Machi 2022.