Vilabu bora barani Africa 2022

Sasa cha ajabu badala yanga waangalie team yao wao wanaitafuta simba ili wakatae hiyo taarifa badala ya kuangalia team yao. Maajabu kweli soka la bongo
 
Simba imejaza majinga mengi sana.
 
Kwenye African club rankings as at 24th July 2022:-
Simba. 111
Yanga. 391
Azam. 415

Sasa sijui ubora unaozungumzwa hapo Ni upi..
Au wa kibiashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…