Vilabu vya Tanzania havimo kwenye 10 bora Afrika

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Katika orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani (Fifa) yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora Afrika.

Mamelodi Sundowns have remained the highest-ranked club in Africa despite their elimination from the CAF Champions League, while Orlando Pirates have climbed into the seventh CAF spot in the Opta’s global team rankings.

The Opta Power Rankings include nearly 13,500 domestic football teams and provide team ratings across the entire global footballing ecosystem. It allows to compare teams in different countries or continents to inform decisions on a comparable scale.

The Opta Power Rankings rank teams on a scale between zero and 100, where zero is the worst-ranked team in the world and 100 is the best team in the world. The Power Rankings are updated daily and currently rank teams from 183 different countries and 413 unique domestic leagues, providing a truly global rating system in men’s football.

A teams’ rankings is determined by its results in domestic and international tournaments but also the strength of the respective competitions.

In our previous update in April, Wydad were leading the African ranking ahead of Sundowns and Raja Casablanca, but the situation has changed quite a bit since.

Masandawana have climbed into first spot on the continent and 164th globally, while Al Ahly, who were in fourth in April, moved into second and 173rd worldwide.

Wydad, meanwhile, have fallen into third among the CAF giants, despite qualifying for back-to-back CAF Champions League finals.

Pyramids, who were knocked out of the CAF Confederations Cup by Marumo Gallants, are somewhat surprisingly in fourth place, following Moroccan side’s FUS Rabat and FAR Rabat.

Meanwhile, Pirates have moved from 10th position in April into seventh on the continent and from 397th globally to 351.

Petro De Luanda, Raja Casablanca and CR Belouizdad round off Africa’s 10 highest-ranked clubs.

Top 10 teams in Africa [Opta]:
  1. Mamelodi Sundowns (164 globally)
  2. Al Ahly (173)
  3. Wydad AC (189)
  4. Pyramids (282)
  5. FUS Rabat (312)
  6. FAR Rabat (322)
  7. Orlando Pirates (351)
  8. Petro De Luanda (360)
  9. Raja Casablanca (365)
  10. Belouizdad (369)

 
Duh!
Mtoa made kwa asili yako una roho mbaya na ngumu....!
 
Simba ni ya 85 na yanga ni ya 395 endelea
 
Source yako na source yake ni rank mbili tofauti. Ya kwako ni rank iliyofanywa na football database
 
Hiyo sio rank ya FIFA mkuu, hiyo rank iliyofanywa na Opta
 
Tumieni akili zenu basi, Mnatupa kaazi sisi wasoma nyuzi.

OPTA RANKING ndio unawaita FIFA..?
 
Maana ya janga la kimaarifa

Mwaka 2020, aliyekuwa Rais wa Marekani, Baraka Obama, akihojiwa na Jeffrey Goldber, mhariri mkuu wa gazeti la “The Atlantic,” aliwaonya Wamarekani kuhusu “janga la kimaarifa,” yaani “epistemological crisis,” lililokuwa linawakabili.

Katika "soko la mawazo," hii ni changamoto ambayo hujitokeza pale ambapo jamii hupoteza “uwezo wa kutofautisha kati ya ukweli na uwongo,” alisema Obama.

Kuwepo kwa janga hili huthibitishwa na utitiri wa sentensi unganifu ambazo zimebeba kauli za kweli na kauli za uwongo,” hali ambayo huitwa “mkanganyiko,” yaani, “paradox,” “mystery,” au “contradiction,” kwa Kiingereza
 
Najua unaikandia Yanga tu, kataa ukubali au hata ufe kwa roho mbaya, kesho historia itaandikwa
Nimesema hakuna timu yoyote ya Tanzania wala sijataja klabu yoyote na isitoshe mimi napenda sana kushabikia mpira wa Ulaya kuliko huu wa kiswahili.
 
Acheni kuabudu lugha za watu,Tena waliowatawala na kuwafanya manamba,china, Korea,Japan, Sweden nk wanafundishiana lugha gani shuleni!?
Hata dini tu tumeletewa na watu waliotufanyia matendo mabaya sana na hadi majina yao ndio tunatumia na pia kufuata tamaduni zao nyingi tu. Waafrika bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…