Vilabu vya Tanzania mnaponunua wachezaji toka ulaya msajiri wachezaji walio na account verified instagram na twitter

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Nawashauri acheni kuokoteza takataka za ulaya

Mfano SIMBA Dejan hakuna kitu ni uchafu mtupu

Kina sakho na Banda ni uchafu

kwa YANGA: moloko tia maji tupu hakuna kiwango cha maana na yule carinho ndo alie muharibu kabwili

Pongezi kwa SINGIDA BIG STARS naona wana mchezaji ana chat Hadi na kina Richarson.

Kwa Azam : wamechukua Talent tupu japo hawana kocha wa maana
 
Na sakho hujaona uwezo wake kweli?
 
Hiyo verified ndo inacheza uwanjani au ndo kiwakilishi cha kiwango cha mchezaji? Kama ndivyo, basi hata uwoya anaweza kusajiliwa
Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako.
 
Sometimes ili usujiaibishe wewe na na ukoo wako epuka kuanzisha thread zisizo na maana [emoji419]
Ambao hamna Akili hamtaona maana Dejan ni uchafu wa mbupu huoni Cruz wa Singida famous adi kwa richalson asa dejan kisa anamla mtoto wa uyo kocha ndo kasajiriwa
 
Bigirima account yake ipo verified anachati na kina demba ba na ayew wa ghana wananchi sio wa mchezo mchezo.
That's is the point sio Dejan mvuvi
 
Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako.
" Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako."
*Sijaelewa hata umeandika nn mkuu??
 
Kwa ufupi amesema kuwa kaseja akiwa na blue tick kwenye instagram, anaweza sajiliwa na man u"

Huelewagi tu!?
 
Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako.
kumbe wachezaj husajiliwa kwa umaaruf wai sio viwango vyao [emoji3][emoji3] aisee
 
Back
Top Bottom