Vilabu vya Tanzania mnaponunua wachezaji toka ulaya msajiri wachezaji walio na account verified instagram na twitter

Vilabu vya Tanzania mnaponunua wachezaji toka ulaya msajiri wachezaji walio na account verified instagram na twitter

"Msajiri" [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
"Msajili" [emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
" Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako."
*Sijaelewa hata umeandika nn mkuu??
Huna akili tu
 
Kwa ufupi amesema kuwa kaseja akiwa na blue tick kwenye instagram, anaweza sajiliwa na man u"

Huelewagi tu!?
Inamuongezea CV kuliko Diara ambae Hana
 
kumbe wachezaj husajiliwa kwa umaaruf wai sio viwango vyao [emoji3][emoji3] aisee
Na umaarufu huchangia kuonekana kweli mchezaji sio tapeli kama Dejan
 
Lilepo pale al hilal kasajiliwa 2bn.....niishie hapa
 
Back
Top Bottom