Sometimes ili usujiaibishe wewe na na ukoo wako epuka kuanzisha thread zisizo na maana 📌
Mtu kazi 😅Hiyo avatar yake inaakisi akili yake ikipoishia
Na sakho hujaona uwezo wake kweli?Nawashauri acheni kuokoteza takataka za ulaya
Mfano SIMBA Dejan hakuna kitu ni uchafu mtupu
Kina sakho na Banda ni uchafu
kwa YANGA: moloko tia maji tupu hakuna kiwango cha maana na yule carinho ndo alie muharibu kabwili
Pongezi kwa SINGIDA BIG STARS naona wana mchezaji ana chat Hadi na kina Richarson.
Kwa Azam : wamechukua Talent tupu japo hawana kocha wa maana
Sio kila anae iponda yanga ni simba open your brain.Watu mkishakunywa mataputapu yenu mnakuja kuharisha humu. Yanga kuna wapumbavu wengi sana
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako.Hiyo verified ndo inacheza uwanjani au ndo kiwakilishi cha kiwango cha mchezaji? Kama ndivyo, basi hata uwoya anaweza kusajiliwa
Ambao hamna Akili hamtaona maana Dejan ni uchafu wa mbupu huoni Cruz wa Singida famous adi kwa richalson asa dejan kisa anamla mtoto wa uyo kocha ndo kasajiriwaSometimes ili usujiaibishe wewe na na ukoo wako epuka kuanzisha thread zisizo na maana [emoji419]
" Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako."Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako.
Kwa ufupi amesema kuwa kaseja akiwa na blue tick kwenye instagram, anaweza sajiliwa na man u"" Inaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako."
*Sijaelewa hata umeandika nn mkuu??
AiseeSometimes ili usujiaibishe wewe na na ukoo wako epuka kuanzisha thread zisizo na maana [emoji419]
kumbe wachezaj husajiliwa kwa umaaruf wai sio viwango vyao [emoji3][emoji3] aiseeInaonyesha katika field yako your famous ata leo hii manura au Feisal wenye bluetick insta Barca inweza wasajiri sababu ile blue inaonyesha Hadhi yako.