Vilabu vyetu havina wachezaji wakongwe?

Vilabu vyetu havina wachezaji wakongwe?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, nadhani mtakumbuka miaka ya hivi karibuni tulitembelewa na wachezaji wakongwe wa klabu ya Real Madrid na nadhani FC Barcelona. Nilidhani vilabu vyetu vingeanzisha utaratibu huu wa kuwathamini wachezaji wao wakongwe kwa japo kuwakutanisha kimechi ili mapato yatakayotokana na mechi zao kiasi kiwasaidie kimaisha, lakini mpaka sasa kimya. Ndipo sasa najiuliza vilabu kama vya Simba na Yanga havina wachezaji wakongwe?
Nawasilisha.
 
Wapo kina ally mayai,kina chambua,kaniki,said maulid smg n.k
 
Back
Top Bottom