Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, nadhani mtakumbuka miaka ya hivi karibuni tulitembelewa na wachezaji wakongwe wa klabu ya Real Madrid na nadhani FC Barcelona. Nilidhani vilabu vyetu vingeanzisha utaratibu huu wa kuwathamini wachezaji wao wakongwe kwa japo kuwakutanisha kimechi ili mapato yatakayotokana na mechi zao kiasi kiwasaidie kimaisha, lakini mpaka sasa kimya. Ndipo sasa najiuliza vilabu kama vya Simba na Yanga havina wachezaji wakongwe?
Nawasilisha.
Nawasilisha.