Richard charles
Member
- Jul 31, 2014
- 20
- 9
Ni kweli, mkuu.Nimeona watu wengi wanavilaumu vilabu vyetu kwa kudharau mashindano ya SP super cup, lakini hapo hapo wansahau wachezaji wengi wa hizi timu zetu walikuwa na timu ya taifa. Nafikiri timing ya mashindano haikuwa fair kwa timu zetu.