Richard charles
Member
- Jul 31, 2014
- 20
- 9
Ndugu zangu ninayo mengi ya kusema juu ya ujio wa timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya England.
Timu zetu zijifunze kuwa hakuna kudharau mashindani ya aina yeyote. Kichuya msuva na wengine fursa hii haijirudii tena.
Miili ya wachezaji pia ni mikubwa na wenye nguvu na uwezo mkubwa lakini pia matumizi ya akili na uwezo wao ilikuwa ni kivutio kikubwa sana kwa watazamaji.
Asanteni everton kwa kuja
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app