Vilainisha vya viungo katika tendo

Vilainisha vya viungo katika tendo

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Naomba mwenye kujua yale mafuta yanayotumika wakati wa tendo la ndoa Yanaitwaje na naweza kuyapata wapi?
 
Baby Care au Vaseline,, yanapatikana kwenye Maduka yote..
 
mafuta gani hayo katika tendo la doa ....
 
jaribu kutafuta mbinu mbadala kabla huchukua maamuzi ya kununua mafuta,kwani kuna njia na matayarisho tofauti kabla ya kujamiana,hivyo basi tafuta ushauri kwanza,kishd ufanyie kaz.
 
48dd1640be9993e4ff5d75c9019933bd.jpg

Hii ndio kiboko sex
 
Back
Top Bottom