Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu,
Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk
Ngojera nyiiingi, eti hoo, kaiba, kafanya hiki na kile!
Leteni ushahidi, tena kaondoka ikulu bila kujipanga kwamba afiche baadhi ya mafaili!