Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Unataka ushahidi Juu ya Nini ?Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu,
Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk
Ngojera nyiiingi, eti hoo, kaiba, kafanya hiki na kile!
Leteni ushahidi, tena kaondoka ikulu bila kujipanga kwamba afiche baadhi ya mafaili!
Acha porojoUnataka ushahidi Juu ya Nini ?
Aliiba Til 1.5 Hadi CAG akathibitisha
Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu,
Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk
Ngojera nyiiingi, eti hoo, kaiba, kafanya hiki na kile!
Leteni ushahidi, tena kaondoka ikulu bila kujipanga kwamba afiche baadhi ya mafaili!
Billion ngapi hizi?
trilioni haikosi hapoBillion ngapi hizi?
Wewe Mataga tulia! Ccm wote ni wezi tu. Hivyo kwa kitendo tu cha kuwa ccm, tayari huyo mtukufu wako naye ni mwizi tuMmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu,
Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk
Ngojera nyiiingi, eti hoo, kaiba, kafanya hiki na kile!
Leteni ushahidi, tena kaondoka ikulu bila kujipanga kwamba afiche baadhi ya mafaili!
Mkuu huyu bwana si ameshatangulia mwaka wa pili sasa, mnasubiri nn kufreez account zake, mtoe hizo 1.5T tukajengee SGR? Fanyeni km yy alivyokua anazifanya account za watu zenye hela zisizo na maelezo...sio kila siku mnalialia kawaibia 1.5T then mmeshindwa ku recover ht mia kutoka kwenye account zake...otherwise mkae kimya na story zenu zisizo na udhibitisho.Unataka ushahidi Juu ya Nini ?
Aliiba Til 1.5 Hadi CAG akathibitisha