Vege
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 338
- 365
Habari zenu wadau,
Kutokana na matamko ya serikali ya watu kujifungia ndani ama kalantin kama inavyojulika, mitandao mingi ikiwemo TTCL, VODACOM, TIGO wamekua waki pandisha bei za vifurushi vyao kiholela na kupunguza thamani ya vifurushi hivyo.
Wakati ili hali wanajua watu wengi wapo nyumban na pia uchumi sio mzuri sana hawakupasa kupandisha bei kabisa na ni bora zingebaki kama za awali. Mfano ni TTCL walikua wanatoa gb 1 kwa 1500 ndani ya wik moja ila saiv n GB 2 kwa 2500.
Voda waliokuwa wanatoa GB 1 kwa 2000 saiv mb 512 kwa 200 vyote ni ndani ya wik moja.
Naomba kuwasilisha