tena hao tigo wanakuaga na mambo ya ajabu ofa kama ipo n kwa namba zote iweje watoe kwa namba mpya tu ?Mitandao ya simu tanzania inajifunza jambo sijui imejifunzia wapi ila imeshatuona sisi watumiaji mazwazwa hivyo wanafanya watakavyo. Imagine tigo sisi ambao tumeanza kutumia line zao tangu miaka ya mwanzoni unakuta simcard ina miaka zaidi ya 10+ ila unapata ofa chache sana tofauti na mtu anayesajili simcard leo. Ukiwapigia kuwauliza hata wao majibu yao ni kifedhuli tupu.
Njoo kwenye meseji za upuuzi sasa..utatumiwa meseji inayosema UJANJA NI..kutwa mara 10 ukiwauliza hii imekuwa simcard ya matangazo yenu ama nini? Majibu ya kifedhuli. Asubuhi utanunua kifurushi kwa bei tofauti na jioni. Hivyo tuwaache tu kama tunaweza kubuni mtandao wetu tubuni sio kuwaacha hawa mabeberu kuna mahala hawaguswi.
Sijui TTCL wanakwama wapi kuchukua fursa hii? au wamehongwa? Yaani wote tungehamia TTCL ya nyumbani hao wengine wakafanye kazi nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni halotel vifurushi vya siku tena mitandao yoteView attachment 1401773
ofa zao za chuoHuyu ni voda au we unasemea voda ipi mkuuView attachment 1401772
halotel siku isemea ila nao bila shaka watafuata mkondo wa wengineHuyu ni halotel vifurushi vya mwezi tena mitandao yote sasa we unasemea mitandao ya tz ipi ai we ndo hujui menu zenye vifurushi vizuri vya nafuu?? View attachment 1401776
Zipo ovyoofa zao za chuo
menu ni *149*42#
utajionea mwenywe
Kibaya Zaidi ,umejiunga dakika na internet bundles . Bado wanakula salio lako kuu lililobaki.
Hasa vodacom
hakuna kitu cha free aiseeIngieni huko YouTube mjifunze siku hizi Kuna njia nyingi sana za kutumia Free Internet 100%
Sent using Jamii Forums mobile app