Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Ingia google usearch PSG alafu uje useme umeona nini mama mkubwa
Nimeona hivi 👇🏽 vipi ni timu yako hiyo?

IMG_7244.jpeg
 
Alafu hua kuna ile mnapeana baada ya kulipia ada za watoto na tayari wamerudi shule inaanzia sebuleni ivi wazee mnafanya kweli hii
Tunafanya kweli, ni kupelekeana moto mpaka tunateguana viuno, kipindi hicho na dada wa kazi huwa tunampa likizo akasalimie kwao 😂 .
 
Tunafanya kweli, ni kupelekeana moto mpaka tunateguana viuno, kipindi hicho na dada wa kazi huwa tunampa likizo akasalimie kwao 😂 .
Unaambiwa kuna slayqueen wa sinza kampa mbaba wawatu uroda mzee nae kajikuta fundi wa kunyonya katika harakati zake za kuonyesha ufundi bahati mbaya kapaliwa na nywele za kwa bibi unajua nini kilitokea hapo
 
Back
Top Bottom