Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #101
Nimeona hivi ππ½ vipi ni timu yako hiyo?Ingia google usearch PSG alafu uje useme umeona nini mama mkubwa
Ndo kama uku tu kuna shabiki wa arsenal alimuweka mke wake bond hapa
Daah, kumbe huwa mnawafanyia matani ya kijinga hadi wake zenu π³Ndo kama uku tu kuna shabiki wa arsenal alimuweka mke wake bond hapa
Kazi kaziDaah, kumbe huwa mnawafanyia matani ya kijinga hadi wake zenu π³
Kama ni kibamia hapo hakifui dafu π€£Kazi kazi
Kijana anajiamulia mambo na anataka apige doggyKama ni kibamia hapo hakifui dafu π€£
Yanatoboa sana mfuko wa uchumiYalivyo matamu hivi, kwanini mnayakwepa?
Huo mkao hatoboiKijana anajiamulia mambo na anataka apige doggy
Alafu hua kuna ile mnapeana baada ya kulipia ada za watoto na tayari wamerudi shule inaanzia sebuleni ivi wazee mnafanya kweli hiiHuo mkao hatoboi
Sasa mpaka unastaafu bado unalalamikia uchumi mkuu?Yanatoboa sana mfuko wa uchumi
Siyo kulalama ila kutafuta ni ngumu lakini ukiendekeza mbususu kupoteza zote ni rahisi sana zaidi ya kunywa majiSasa mpaka unastaafu bado unalalamikia uchumi mkuu?
Leta ushuhudaπ€£π€£π€£π€£π€£
Tunafanya kweli, ni kupelekeana moto mpaka tunateguana viuno, kipindi hicho na dada wa kazi huwa tunampa likizo akasalimie kwao π .Alafu hua kuna ile mnapeana baada ya kulipia ada za watoto na tayari wamerudi shule inaanzia sebuleni ivi wazee mnafanya kweli hii
Kwamba??? Ebu rudia tena ngikulu.nimefika kibo mpaka nikahisi kizungu zungu. Kuna raha, halafu kuna raha ya kulowekwa vizuri, ule utamu hadi leo bado upo kichwani.
Unaambiwa kuna slayqueen wa sinza kampa mbaba wawatu uroda mzee nae kajikuta fundi wa kunyonya katika harakati zake za kuonyesha ufundi bahati mbaya kapaliwa na nywele za kwa bibi unajua nini kilitokea hapoTunafanya kweli, ni kupelekeana moto mpaka tunateguana viuno, kipindi hicho na dada wa kazi huwa tunampa likizo akasalimie kwao π .
Log out nataka kutoa ushuhudaπ
Sasa si mtulie tu na mpenzi mmoja au mke. Kwanini mnapenda kuchovya chovya kwenye mbunye tofauti tofauti?Siyo kulalama ila kutafuta ni ngumu lakini ukiendekeza mbususu kupoteza zote ni rahisi sana zaidi ya kunywa maji
Haaa haaa, kidogo nidondoke kwa utamu, acha tu mzee mwenzangu πKwamba??? Ebu rudia tena ngikulu.
Unaambiwa kuna slayqueen wa sinza kampa mbaba wawatu uroda mzee nae kajikuta fundi wa kunyonya katika harakati zake za kuonyesha ufundi bahati mbaya kapaliwa na nywele za kwa bibi unajua nini kilitokea hapo
Kuna umri ukifika kama mzee achana na ufundi kabisa piga kifo cha mende kimoja ulale sio mashindano yale