Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #161
Kweli ni unnecessary stress, kama unaweza ku-avoid, just do that!Kulana si hata mtaani tu, kwanini nije kujipa stress za humu at this age mama!
Angalia usidondokee vyombo ng'wanike 😅Nyie kulaneni tu kwanza mje mtuletee habari, mimi najipa rahaa🤪
Sijakuchekesha bana🤣Acha wateseke kwanza 😎
View attachment 3598742
Naweza vizuri sana, labd anijiendekeze tumwenyewe!Kweli ni unnecessary stress, kama unaweza ku-avoid, just do that!
Hahaha leo sipo mwenyewe aki ningekuwa nakaribia kuanguka hii mida😁Angalia usidondokee vyombo ng'wanike 😅
Mwanamke🤣Ngw'anike maana yake nini 🙌
Nichekeshe mamitooSijakuchekesha bana🤣
Hahaha leo sipo mwenyewe aki ningekuwa nakaribia kuanguka hii mida😁
Asante maa❤️Mwanamke🤣
Blauzi langu ni miezi sasa linawakosesha waja usingizi mayu nene🤣Nichekeshe mamitoo
😅😅😅Blauzi langu ni miezi sasa linawakosesha waja usingizi mayu nene🤣
Ng'wanike umerudi, shusha sasa ule ushuhuda wako wa jana 😆Asante maa❤️
Daaah hivi mpaka leo bado wanahangaika nalo, nilijua yashaisha 😆Blauzi langu ni miezi sasa linawakosesha waja usingizi mayu nene🤣
Naogopa mimi umekaa kimalaya malaya 😅Ng'wanike umerudi, shusha sasa ule ushuhuda wako wa jana 😆
Yani unasoma maandiko yangu humu halafu bado unajishtukia 🤔😏.Naogopa mimi umekaa kimalaya malaya 😅
💋💋💋Yani unasoma maandiko yangu humu halafu bado unajishtukia 🤔😏.
We andika kama kuna ubaya tutakuambia usahihishe.
Mwenyewe sikujua nimeshangaa kupata za chini kumbe kweli eti😁Daaah hivi mpaka leo bado wanahangaika nalo, nilijua yashaisha 😆
Nimeona kule kwenye uzi wa mapicha picha unajadiliwa, ila una nyota mwanetu 😆 😅 😆Mwenyewe sikujua nimeshangaa kupata za chini kumbe kweli eti😁
Hii dunia sijaona vyote🤭