Vilevi

Vilevi

wakumbuli

Senior Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
147
Reaction score
5
Wana Jf naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani wa kunywa pombe tena zile kali kama konyagi,boss,valuu na nyingine jamii ya spirit,nimeona vijana wengi wakidai kuwa baada ya kunywa ukiwa kwenye game paformance yako inakuwa juu zaidi,je ni kweli
 
Si kweli
 
Kwanini utuulize ilhali hiyo sio sumu basi jaribu ila usidindishe mb$$, k#m@ kwa jirani. Shauri lako
 
Unazungumzia game gani? Kama ni soka lazima performance ishuke tu:frown:!
ha ha ha ha.
1.Kumbuka game lile lisilo na watazamaji,hudhibitiwa na mishipa yako ya fahamu na mwenendo wa damu mwilini
2.POMBE, inaingilia yote hayo mawili kwa hiyo ni lazima perfomance nayo itabadilika.
3.Sikushauri unywe pombe kwajili ya game,tumia vitu vingine vyenye kuhamasisha game.
 
Wana Jf naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani wa kunywa pombe tena zile kali kama konyagi,boss,valuu na nyingine jamii ya spirit,nimeona vijana wengi wakidai kuwa baada ya kunywa ukiwa kwenye game paformance yako inakuwa juu zaidi,je ni kweli

jaribu utapata jibu hapa utopata jibu sahihi kwa hili
 
Back
Top Bottom