Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

Mjasiri na Mali

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
5,366
Reaction score
14,167
Kwema wakuu

Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..

Nikaamia kwenye nyagi nako ni vile vile mtu akiwa karibu yako harufu yote anaipata ya nyagi

Nikaona isiwe ishu ngoja niweke kambi kwenye dompo huko ndo hapafai kabisa harufu inatema sana..

Niko katika jamii ambayo hawatumii vilevyi vya aina yoyote ile hivyo nataka nisiwe tabu kwa watu wengine

Naomba kujuzwa ni kilevi gani naweza kutumia bila harufu yake kubaki kinywani...

Nawasilisha kwenu wakuu wenu mtiifu katika ujenzi wa viwanda
 
Pombe yoyote ukijnywa harufu utapata tu ila jaribu kunywa heinken zako taratibu ukitafunia na vitango 60% inapunguza
 
Ukimaliza kunywa pombe kunywa na Petrol/Diesel kidogo kama ml 25 tu, harufu ya pombe inapotea kabisa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…