Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Windhoek beerKwema wakuu
Napenda kunywa bia Ila sasa zinanipa tabu baada ya kunywa kuna harufu inabaki mdomoni na kila nikiongea na mtu ananiuliza vipi Leo umekunywa pombe..
Nikaamia kwenye nyagi nako ni vile vile mtu akiwa karibu yako harufu yote anaipata ya nyagi
Nikaona isiwe ishu ngoja niweke kambi kwenye dompo huko ndo hapafai kabisa harufu inatema sana..
Niko katika jamii ambayo hawatumii vilevyi vya aina yoyote ile hivyo nataka nisiwe tabu kwa watu wengine
Naomba kujuzwa ni kilevi gani naweza kutumia bila harufu yake kubaki kinywani...
Nawasilisha kwenu wakuu wenu mtiifu katika ujenzi wa viwanda
k vant.hizzo zengine utashitukiwaKwema wakuu

Aisee hiyo kitu kinywa kinageuka choo nimegombana sana na mke wangu sitaki hata kuionaBalimi
dawa ni kutikunywa pombe
Tena ya Kibosho!Mbege
Mmhh valuer ambayo unaipumua mpaka siku ya pili baada ya kuinywaaHarufu inatokana na kuvuka kipimo.. Ukinywa kidogo huwezi kutoa harufu.... Jaribu na Valuer Brandy...