Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

Vilevyi gani havitoi harufu kinywani baada ya kunywa

Aisee kaka mimi ni mpenzi sana wa The Castle lager toka nijue bia nayo ina harufu ukinywa nyingi but ukinywa 1-5 harufu hutosikia.Ila Dry Savanna ni habari nyingine unaweza ukanywa kumi na ukaenda kufanya usaili na mtu hasikusome kabisa!Kunywa savanna unapokuwa na mkutano na watu wa muhimu harufu sahau
Nimekusomaaa mkuu
 
Kunywa don nyati, jibel, duma au zed ukicheua tu inatoka harufu ya mananasi.
 
Back
Top Bottom