Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Divai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naziogopa naona kama zina undugu na gongoKunywa don nyati, jibel, duma au zed ukicheua tu inatoka harufu ya mananasi.
Ipi hiyoDivai
Zina tbs mkuuNaziogopa naona kama zina undugu na gongo
Kweli ila balaa lake si La mchezo mchezoZina tbs mkuu
Unatumia kwa kiasi kiongozi.Kweli ila balaa lake si La mchezo mchezo
Na wewe pia ni mtumiaji wa hizo mavituUnatumia kwa kiasi kiongozi.
Kanda ya ziwaZinapatikana wapi
Njoo tupate shangwe pamojaMKUU MIE NI MNYWAJI HASWAA TUMIA K-VANT HAINA HARUFU YA POMBE KABISAAAAAAA
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Kunywa castal milk, unaweza kunywa na ukaenda kazin kama kawaida na haina hangover pia
Mbali mno hukoKanda ya ziwa
Hahaaaa! Mkuu unataka mwenzako afuatwe na nyukiWanzuki
Kweli kabisa mkuu afanye hivo bonge la ushauri asipuuzieUkimaliza kunywa pombe kunywa na Petrol/Diesel kidogo kama ml 25 tu, harufu ya pombe inapotea kabisa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimewasomaa wakuuKweli kabisa mkuu afanye hivo bonge la ushauri asipuuzie
Hiyo ni kama sukaria au inakuaje kuhusiana na hao nyukiHahaaaa! Mkuu unataka mwenzako afuatwe na nyuki
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] sawa bhanaMKUU MIE NI MNYWAJI HASWAA TUMIA K-VANT HAINA HARUFU YA POMBE KABISAAAAAAA