Vilio vya bundi nyumbani siku 3 mfululizo vinaashiria nini?

Vilio vya bundi nyumbani siku 3 mfululizo vinaashiria nini?

Ni siku 3 sasa, wakuu kunani hapa nini maana yake?
naona kama sio kawaida.
Bundi anakula pia mizoga, na ana uwezo mkubwa wa kuhisi/kunusa harufu ya mzoga kutoka umbali mrefu.

Hivyo basi, huenda hapo jirani kuna mnyama amekufa au anaumwa hivyo dalili za kuanza "kuoza" zimeanza kujitokeza....... Kumbuka hata binadamu ni mnyama
 
duh kwaiyo ni official tuna mzoga hapa kitaa? tufanye nini sasa?
 
1. Bundi Hali mizoga,hayupo kundi la ndege walao mizoga. Vyakula vyao ambavyo huviwinda wenyewe ni chura, mijusi, nyoka, ndege wadogo, popo,na jamii za panya, panzi, n.k ( pengine makazi yako yapo karibu na malisho yake)
2. milio ya ndege hao ni mawasiliano labda kutafuta mwenza, kutambulisha eneo lake ama ishara Fulani kwa bundi wengine. ( ndege wengi hutoa milio)
3.Bundi wengi hufanya mawindo yao usiku japo baadhi huwinda mchana pengine ni sababu hi tunakumbana hatakati zao wakati wa usiku.
NB. Source vyanzo mbali mbali.
 
Back
Top Bottom