I feel good JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 804 Reaction score 1,362 Jan 25, 2025 #21 Ina maanisha kuwa kuna vitu viko maeneo ya hapo kwako anaviwinda. Achana na Imani za kiafrica.
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 Jan 25, 2025 #22 Ngariba1 said: Mbona mahospitalini hakuna bundi wengi na huko ndiko watu wanafariki kila siku? Click to expand... Umehi kulazwa vituo vya afya vya vijijini??
Ngariba1 said: Mbona mahospitalini hakuna bundi wengi na huko ndiko watu wanafariki kila siku? Click to expand... Umehi kulazwa vituo vya afya vya vijijini??