Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Halafu wanajifanya wajanja eti wanafunga mipaka na Tanzania. Wao wenyewe wameishia kunyosha mikono.Hahahaha, hawa watu ni ombaomba sana, badala ya kuomba kuwezeshwa ili wazalishe chakula chao wenyewe, wao wanaomba chakula cha bure
Kila siku jamaa kazi yao ni kujisifia tu lakini hawana lolote.Hivi si walijisifu kuwa wameanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga.
Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja
Hawaombi wasamehewe madeni 😂😂Hahahaha, hawa watu ni ombaomba sana, badala ya kuomba kuwezeshwa ili wazalishe chakula chao wenyewe, wao wanaomba chakula cha bure
Njaa haina baunsaHawaombi wasamehewe madeni 😂😂View attachment 1483139
Najua inauma but itabidi uzoee 😁
Watashiba kweli? Aah wapi!Watakula kiti...
Kama chakula hamuwezi kununua, mtawezaje kulipa madeni?Hawaombi wasamehewe madeni [emoji23][emoji23]View attachment 1483139
Najua inauma but itabidi uzoee [emoji16]
Ukiwa unafuatilia siasa za Kenya bila kuwa biased utajua kua demonstration is not about food but port kwa sababu viongozi wa pwani wapo ndani ya BBI hawataki waonekani kwamba wanapinga mpango wa serikali wa dry port pale naivasha lakini wanajificha ndani ya mandamano eti wapo njaa.Hivi si walijisifu kuwa wameanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga.
Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja
Mtu unatumia kitecno Tena 2 GB ram pia utazungumza Nini mbele ya watu.Nasikia wameshinda UN seat,sasa si waende huko wakachukue chakula
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wakenya wengi wana tabia ya kutumia utetezi usio kuwa na maana yoyote na usiohitajika ili kuficha aibu au mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kwao na ndio kitu unachojaribu kufanya hapa.Ukiwa unafuatilia siasa za Kenya bila kuwa biased utajua kua demonstration is not about food but port kwa sababu viongozi wa pwani wapo ndani ya BBI hawataki waonekani kwamba wanapinga mpango wa serikali wa dry port pale naivasha lakini wanajificha ndani ya mandamano eti wapo njaa.
Hayo mandamano yanatokea kwa sababu ya port clearance kupelekwa naivasha,hata Sasa hivi Kuna mswada bungeni kumung'oa waziri wa uchukuzi afisini na pia mahakama imepuzilia mbali agizo la waziri kutumia sgr Kama njia pekee ya kubeba mizigo ndio maana nikasema ukilitizama hili Jambo kwa umakini bila kupendelea utaona kwa Nini yanafanyika.Wakenya wengi wana tabia ya kutumia utetezi usio kuwa na maana yoyote na usiohitajika ili kuficha aibu au mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kwao na ndio kitu unachojaribu kufanya hapa.
Badilisha iwe hivi, tanzania imeamua kutenda chakula kwa ajili ya kuilisha kenya hapo badaeHivi si walijisifu kuwa wameanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga.
Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja