Vilio vya njaa vinashamiri huko Mombasa, Kenya

Vilio vya njaa vinashamiri huko Mombasa, Kenya

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Jamaa wameanza kulia "ile chakula tunapeana iko wapi"?

======

Protestors from Bahati, Kibarani, and Kwa Punda close Kibarani road demanding relief food from Mombasa County. They say for the last three months they have not received anything despite having their names being registered

Hahahaha, hawa watu ni ombaomba sana, badala ya kuomba kuwezeshwa ili wazalishe chakula chao wenyewe, wao wanaomba chakula cha bure
Hawaombi wasamehewe madeni 😂😂
Screenshot_20200618-221040.png

Najua inauma but itabidi uzoee 😁
 
Hivi si walijisifu kuwa wameanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga.

Serikali ya Kenya yaanza kununua na kukusanya chakula kwa ajili ya kujipanga yakija ya kuja
Ukiwa unafuatilia siasa za Kenya bila kuwa biased utajua kua demonstration is not about food but port kwa sababu viongozi wa pwani wapo ndani ya BBI hawataki waonekani kwamba wanapinga mpango wa serikali wa dry port pale naivasha lakini wanajificha ndani ya mandamano eti wapo njaa.
 
Wakenya wengi wana tabia ya kutumia utetezi usio kuwa na maana yoyote na usiohitajika ili kuficha aibu au mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kwao na ndio kitu unachojaribu kufanya hapa.
 
Wakenya wengi wana tabia ya kutumia utetezi usio kuwa na maana yoyote na usiohitajika ili kuficha aibu au mambo mbalimbali yanayoendelea nchini kwao na ndio kitu unachojaribu kufanya hapa.
Hayo mandamano yanatokea kwa sababu ya port clearance kupelekwa naivasha,hata Sasa hivi Kuna mswada bungeni kumung'oa waziri wa uchukuzi afisini na pia mahakama imepuzilia mbali agizo la waziri kutumia sgr Kama njia pekee ya kubeba mizigo ndio maana nikasema ukilitizama hili Jambo kwa umakini bila kupendelea utaona kwa Nini yanafanyika.
 
Back
Top Bottom