Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makalio yaitwe makalio sio makochi.ukweli ni ukweli tu.Huyo jamaa anayejiita mtaalam wa maabara ndo mwenye makosa, njia aliyotumia kurekodi na kusambaza hizi clips ni ya kuidhalilisha idara ya afya ya nchi.
Kama ana nia njema angewasiliana na uongozi.
utajuaje kama alishawasilisha na hakuna lililofanyiwa kazi,ukweli utabaki kuwa ukweli ingawa unapindishwaHuyo jamaa anayejiita mtaalam wa maabara ndo mwenye makosa, njia aliyotumia kurekodi na kusambaza hizi clips ni ya kuidhalilisha idara ya afya ya nchi.
Kama ana nia njema angewasiliana na uongozi.
Singeli inapigwa hospitalHuku tukiendelea na sekeseke la awali kuhusu vifaa vilivyoexpire, eebwana kuna hii nyingine.
Sijui ni wapi.
View attachment 2479390
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani hawa wanazidi kuongezeana matatizo tu sasa huyo anaepiga mziki kama yuko kilabuni sijui ndo boss wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] James kaliwa kichwaa hatoboi hii kesi hata akituma video ya kuonesha mrdt zilizoexpire sirikali haitakubalii